Friday, July 25, 2014

Kuwepo kwa migogoro ya ardhi na vitendo vya imani za kishirikina ni moja ya sababu zinazoyagharimu maisha ya wanawake vikongwe kuuwawa kwa kukatwa mapanga  mkoani simiyu ,hivyo jeshi la polisi limekemea na kuitaka jamii kuanzisha daftari la wageni kwa kila kijiji ili kuwabaini wanaoingia na
Waandishi wa habari  hawana budi kutumia kalamu zao katika kuwafichua watu wanaondelea kuwafanyia ukatili wa kijinsia watoto wa kike na wanawake kwa kuwashushia vipigo na kuwasababishia ulemavu wa  maisha.
Rai hiyo ilitolewa  jijini mwanza na mkurugenzi wa UTPC Bw. Abubakari karsan wakati akifungua mafunzo ya waandishi wa habari kutoka mikoa mitano ya kanda ya ziwa ,ambayo yameandaliwa na chama cha waandishi wa habari wanawake tanzania  Tamwa,ikiwa ni mikakati ya kupambana na ukatili wa kijinsia hapa nchini.
Karsan Alisema kuwa dhima ya vyombo vya habari  katika vita  dhidi ya uovu wa ukatili wa kijinsia  ukiachwa bila kushughulikiwa unaweza kuvunja mshikamano wa kijamii hali ambayo inaweza kuleta mparanganyiko wa taifa, na hivyo kuwaomba waandishi wa

MAFUNZO YA INTANETI KWA WAANDISHI WA MKOA WA MARA.

Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Mara wakiwa katika mafunzo ya intaneti.