Kuwepo kwa
migogoro ya ardhi na vitendo vya imani za kishirikina ni moja ya sababu
zinazoyagharimu maisha ya wanawake vikongwe kuuwawa kwa kukatwa mapanga mkoani simiyu ,hivyo jeshi la polisi
limekemea na kuitaka jamii kuanzisha daftari la wageni kwa kila kijiji ili
kuwabaini wanaoingia na
Friday, July 25, 2014
Waandishi wa
habari hawana budi kutumia kalamu zao
katika kuwafichua watu wanaondelea kuwafanyia ukatili wa kijinsia watoto wa
kike na wanawake kwa kuwashushia vipigo na kuwasababishia ulemavu wa maisha.
Rai hiyo
ilitolewa jijini mwanza na mkurugenzi wa
UTPC Bw. Abubakari karsan wakati akifungua mafunzo ya waandishi wa habari
kutoka mikoa mitano ya kanda ya ziwa ,ambayo yameandaliwa na chama cha waandishi
wa habari wanawake tanzania Tamwa,ikiwa
ni mikakati ya kupambana na ukatili wa kijinsia hapa nchini.
Karsan Alisema
kuwa dhima ya vyombo vya habari katika
vita dhidi ya uovu wa ukatili wa
kijinsia ukiachwa bila kushughulikiwa unaweza
kuvunja mshikamano wa kijamii hali ambayo inaweza kuleta mparanganyiko wa
taifa, na hivyo kuwaomba waandishi wa
Subscribe to:
Posts (Atom)